ID: felijose.com.bloggerframework
Version: 1.0.1.6
Size: 0 Mb
Habari sasa Screen Preview
Habari sasa Details
Habari sasa app ni application inayokuwezesha kupata habari zote kutoka blog mbali mbali sehemu moja. Ni muuunganiko wa application zote za blog Tanzania. Itakuwezesha kuona habari zilizoingia na kupostiwa na wanablog wa Kitanzania. Hii inakusanya habari zote kutoka kwenye blogs. Hakuna matangazo ya kusumbua unapokuwa unasoma jisikie huru kupata habari zote sehemu moja. Kupitia application hii inaweza kukuunganisha na application nyingine inayokuwezesha kucomment na kulike na kuinteract na watu wengineo.What's new in Habari sasa 1.0.1.6
User interface modificationDownload Habari sasa 1.0.1.6 APK
Search terms:
Habari sasa for pc
Habari sasa mod apk
Habari sasa full version
Habari sasa full data